• Breaking News

  May 2, 2016

  Askofu Malasusa: Kinachoendelea Kwenye Mitandao ya Kijamii Kuhusu Mimi Anajua Mungu Ninayemtumikia

  Askofu wa KKKT Dk. Alex Malasusa amesema ukweli wa kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii,anaujua Mungu anayemtumikia.
  Askofu amesema hayo leo alipokuwa anaweka jiwe la msingi la kanisa la KKKT, Veterinary Jimbo la Kusini.

  Askofu huyo wiki iliyopita alitutuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mke wa mtu ambapo aliyemtuhumu ni Bw.Venance Mwakilima, mkazi wa eneo Vikawe, Bagamoyo, ambaye ni mfanyakazi wa Shule ya Msingi Dunda.

  Dk. Malasusa anadaiwa kuwa na uhusiano na mke wa Bw. Venance Leita Ngowi ambae kwa sasa ni Mchungaji na Mkurugenzi wa Idara ya wanawake usharika wa Azania Front, Jijini Dar es Salaam aliyepandishwa cheo siku za karibuni na askofu huyo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku