BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa nidhamu na maadili pia yanachangia katika mafanikio
"Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Sony Music. Nidhamu, maadili & Sanaa ya staha hulipa" waliandika BASATA


Post a Comment

 
Top