May 19, 2016

CAG Prof. Asad amshukia Rais Dr. Magufuli

CAG Prof. Asad amshukia Dr. Magufuli kwa serikali yake kuzuia watumishi wake kwenda nje ya nchi kwa safari za kikazi. CAG ameishangaa serikali kupunguza bajeti ya Ofisi yake zaidi ya 40%.

Aidha CAG ameonyesha kumkumbuka Dr. Kikwete kwa jitihada zake za kuiwezesha ofisi ya CAG kufanya kazi kwa kuipatia fedha za kazi pamoja na mafunzo mambo ambayo yameleta tija kubwa kiutendaji.

No comments:

Post a Comment