May 2, 2016

Diwani Chadema Amuunga Mkono John Pombe Magufuli

Diwani wa Loiborsiret, wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, Ezekiel Lesenga (Chadema), ameunga mkono agizo la Rais John Magufuli kwa kutoa madawati 100 kwa shule nne za msingi za kata yake.

Wakati akiwaapisha wakuu wa wapya wa mikoa, Rais Magufuli aliwaagiza kuhakikisha hadi mwishoni mwa Mei, hakuna mwanafunzi anakaa sakafuni akiwa darasani kwa kukosa madawati.

Afafanua mgawanyo wa madawati alisema shule ya Nakarauwo imepata 50, Loiborsiret (30), Namelock (10) na Kangala madawati 10.Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR