• Breaking News

  May 9, 2016

  Hassan Kessy asaini kuichezea Klabu ya Yanga kwa Miaka miwili

  Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy atimae ameasaini kuichezea Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, Hii ni baada ya mkataba wake na Simba wa miaka miwili kumalizika.

  Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Akiwa na Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit Kessy ataanza kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku