• Breaking News

  May 1, 2016

  Hawa Ndio Wanao Mhujumu Rais John Pombe Magufuli

  Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

  Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

  Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

  Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

  Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

  Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania

  1 comment:

  1. Waseme wasemavyo. NA WACHORE WACHORAVYO..WE have Mandated JPJM due to his dedication and Passion combined with Leadership skills and chosen style.. More over We deem him as a game changer in Africanleadrship... Many world leaders are admirer OF our JPJM and are keen to follow his footsteps and revamp their leadership Skills and Corruption riden countries.. OUR IS A SAVIOUR OF A COMMOM MAN BY COMMON MAN... MUNGU ATULIDIE NA AMUONDOSHEE MAADUI NA UADUI WAO JUU YAKE... JP ENDELEA BILA KUONA HAYA NA HATUYATAKI HAYA WAZEMBE KIBOKO YAO JPJM

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku