May 17, 2016

Jeshi la Polisi Kenya Katika Kashfa Nzito..Wamuua Kijana Katika Maandamano Kutaka Tume ya Uchaguzi Iundwe Upya

Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya majeraha yaliyompata

Wafuasi wa CORD jana waliandamana kushinikiza kuundwa upya kwa Tume ya Uchaguzi (IEBC)No comments:

Post a Comment