• Breaking News

  May 15, 2016

  Kassim Majaliwa: Niambieni ni Nchi gani Duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa hata bunge la Uingereza halionyeshwi ''LIVE " kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo lilikuwa likionyeshwa kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana, na kuanzia saa 10 jioni hadi saa 2 usiku na kupelekea watu kutokufanya kazi na badala yake kuamka asubuhi kufuatilia bunge kwa muda wa miezi hadi mitatu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku