May 31, 2016

Kijana Akamatwa na Kuku Vibudu 78 Akijiandaa Kuwauza Kwa Wapika Chips

DAR: Kijana mmoja mkazi wa Buguruni akamatwa baada ya kubainika akiwa na kuku 78 waliokufa akijiandaa kuwasambaza kwa wauza chips.

Afisa Afya Kata ya Buguruni amesema baada ya uchunguzi walibaini kuku hao hawafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa walikuwa wameshakufa.
Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR