• Breaking News

  May 31, 2016

  Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) chataka wabunge waliosimamishwa warejeshwe bungeni


  Siku moja baada ya kuibuka vurugu bungeni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) leo kimetoa tamko lenye maagizo matano ikiwamo wabunge wote waliosimamishwa kurejeshwa bungeni ili kuendelea na majukumu yao.

  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Dk Helen Kijo Bisimba alitaja maagizo mengine ni kuitaka Serikali isitishe uamuzi wake wa kuwafukuza wanafunzi wa UDOM na badala yake itafutwe suluhu kwa amani.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku