May 8, 2016

Kiuchumi, Wafanyabiashara wapo Sahihi Kuficha Sukari

Unajua watanzania wengi wanajua Sukari inahitajika na wananchi pekee hawajui sukari inatumika kwa wingi kama raw material kwenye viwanda vingi kama vya vinywaji moto na baridi.

chukulia mfano wewe ni mfanyabiashara wa kampuni ya Bia au soda serikali imepiga marufuku uigizaji wa sukari nje na uzalishaji wa sukari wa ndani haukizi mahitaji na wewe unataka kiwanda chako kiindelee kuzalisha utafanyaje ni lazima utanunua sukari kwa wingi na kutunza ili uweze kuendelea na uzalishaji.Kumbuka pia hivi viwanda vikikosa rawmaterial utasabababisha anguko la uchumi kwa Taifa na Mtu moja moja ( pamoja na ajira)

Pili, Rais Magufuli anasema kuwa wafanya Biashara wanaingiza Biashara iliyokwisha muda,hii sababu ni dhaifu sana kwani vyombo vya kudhibiti ubora kama TFDA, TBS na BODI YA SUKARI vinafanya kazi gani??

By Econometrician

Je Yuko Sahihii?

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR