Sasa kumekucha, Edward Lowassa ameanza kufyeka Vichaka upya ikiwa ni maandalizi ya urais 2020. Nahisi kuna madhaifu ameyaona kwa rais aliyepo. Kila la heri.

Lowassa akisalimiana na viongozi wa kikundi cha walemavu mto wa mbu katika mkutano wa kuimarisha chama Wilayani Monduli leo.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top