• Breaking News

  May 7, 2016

  Kutana na Waziri wa Maji wa Sudani Kusini, Waziri "Msela" Aliyefukuzwa Kikaoni Sababu ya Mavazi

  Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka kwenye kikao,dogo alivyotoka nje akawambia waandishi kuwa "badala Rais azingatie ukosefu wa mafuta Sudan Kusini mpaka watu wanapata shida,ye anaangalia mavazi yake".Kapewa Uwaziri wa Wizara ya Maji.

  Hapa chini ni Mike Sonko kaandika leo hivi

  Ladies and gentlemen, introducing the current Minister for Water Resources and Irrigation in the Republic of South Sudan, Hon Mabior Garang De Mabior, son to Former President, Dr Garang... He is serving in the Unity government courtesy of Dr Riek Machar. All the best Mheshimiwa.... We are African and Africa is our Business.

  2 comments:

  1. Nafikiri kama kichwani yuko vizuri na anapiga kazi sidhani kama mavazi ni muhimu sn cha maana hayo mavazi yawe safi na yanayositiri mwili kwasababu hao wavaa suti wengi wao ni wapiga dili

   ReplyDelete
  2. bangi tu hizo,mavazi huonyesha mtualivyo.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku