• Breaking News

  May 19, 2016

  List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa

  Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa leo May 18 ametangaza kikosi cha wachezaji 26 watakaojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Harambee Stars na mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Misri.

  Katika kikosi hicho Mkwasa ametaja majina ya wachezaji wengi tuliowazoe lakini jina la Simon Msuva na Deus Kaseke halikuwepo katika list, Mkwasa ameamua kumuongeza kikosini mchezaji wa Coastal Union Juma Mahadhi, licha ya nahodha wa zamani Nadir Haroub Cannavaro kutangaza kujiuzulu amemjumuisha katika list yake.

  List ya majina ya wachezaji walioitwa

  Magolikipa: Deo Munish ( Yanga), Aishi Manula (Azam) Benno Kakolanya ( Prisons).

  Mabeki: Juma Abdul, Haji Mwinyi,Nadir Haroub (Yanga ), Erasto Nyoni, David Mwantika, Aggrey Morris ( Azam), Mohamed Tshabalala (Simba), Andrew Vicent ( Mtibwa Sugar).

  Viungo: Himid Mao, Farid Mussa ( Azam), Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto (Simba), Mohamed Ibrahim, Shiza Kichuya ( Mtibwa Sugar ),Hassan Kabunda ( Mwadui ), Juma Mahadhi (Coastal Union). Ismail Issa Juma ( JKU)

  Washambuliaji: Elias Maguri ( Stand United), John Bocco ( Azam) Ibrahim Hajib ( Simba), Mbwana Samatta ( KRC Genk , Ubelgiji), Thomas Ulimwengu ( TP Mazembe)

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku