May 20, 2016

Magufuli anafanya maamuzi katika kiwango cha juu kuliko wapinzani wanavyodhani

Tatizo linalopelekea kuwapa kichwa wapinzani wa Magufuli, ni kwamba strategy ya Magufuli katika kujibu wapinzani wake ni very high level way of doing things, wakati wapinzani wake wanatumia low level ya uwezo wa watu wengi kupenyeza propaganda zao na hivyo kuonyesha kwamba Magufuli ameshindwa au anaelekea kushindwa au ana unga mkono ubadhirifu au ana double standard.

Na jingine ni kwamba Magufuli haamini katika uhuni wa mitaani, hivyo kuonekana ameshindwa kwenda sambamba na maisha yenye kuweza kufutia maisha ya asilimia kubwa ya watu wasio na uelewa.

Utatuzi wa haya mambo ni kwa watu walio karibu naye kutathmimi hii hali na kuchukua hatua stahiki ili Rais aweze kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR