May 12, 2016

Mahakama Yaiamuru Kampuni ya Mawasiliano ya TIGO Kuwalipa Wasanii Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY' Bilioni 2.18

Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo, kuwalipa shilingi bilioni 2.18 marapa Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY', kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller Tune(Mwitikio wa simu) bila ruhusa wala mkataba.

Hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kwa miaka 4 ilitolewa na hakimu mkazi wa mahakama hiyo  Juma Hassan.

Ay na MwanaFA waliomba mahakama iwaamrishe Tigo kulipa fidia ya Billion 4.3 kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na gazeti la The Citize.
Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR