Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemsimamisha kazi Afisa Utumishi wa wilaya ya Ilala baada ya kushindwa kujua wafanyakazi hewa 11 waliokuwepo kwenye wilaya hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa hii leo katika kikao chake na wakuu wa wilaya wakiwemo maafisa wote wa mkoa mzima.


Post a Comment

 
Top