• Breaking News

  May 9, 2016

  Mashabiki wa Klabu ya Simba Wakusanyika Makao Makuu ya Klabu, Wakishinikiza Uongozi wa Klabu Ujiuzulu

  DAR: Mashabiki wa klabu ya Simba wakusanyika makao makuu ya klabu, wakishinikiza uongozi wa klabu ujiuzulu kufuatia matokeo mabovu.

  Wachezaji saba wa kigeni klabu ya Simba wamegoma kwenda Songea kuikabili Majimaji keshokutwa wakidai mishahara yao

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku