May 27, 2016

Mauaji ya Kutisha: Mtu na Mkewe Wauawa Kwa Kukatwakatwa na Mapanga

BUTIAMA, MARA: Wakazi 2 wa kijiji cha Manzami, mume na mkewe wamekutwa wameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na watu wasiojulikana.

Mwenyekiti wa kijiji amesema kuwa wauaji hao hawakuchukua kitu chochote kutoka kwa marehemu


0 maoni:

Post a Comment