Mbunge wa Gairo, Mheshimiwa Shabiby amesema atakua wa kwanza kuwahamasisha wananchi wake kutojiunga na mfuko wa bima ya afya yaani NHIF kwa kuwa huduma zitolewazo kwa wanachama wa mfuko huu haziakisi thamani ya pesa wanayotoa.

Je unakubaliana nae au Unakataa?


Post a Comment

 
Top