Jimboni kwangu watu hawaoi wanawake wazuri’, kauli imetolewa na mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa ‘CCM’ wakati alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alisema watu jimboni kwake wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu wanachukuliwa na wanajeshi.

Bashungwa wakati akichangia hotuba hiyo ameiomba Serikali kuhakikisha inaimarisha ulinzi kwenye kata ya Bweranyangi ambako wanajeshi wengi hulinda mpaka wa nchi.

MY TAKE:
Hawa ndio wawakilishi wetu

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top