Rais Magufuli ni rafiki wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Benjamin Mkapa anamiliki mashamba ya Miwa ya kutengeneza Sukari. Mkapa anahofia iwapo Sukari itaagizwa kutoka nje, basi miwa yake itakosa soko. Bila shaka alienda Ikulu siku ile kumuomba afute vibari vya Sukari kutoka nje.

Sasa Sukari imeadimika watu wamemuacha Rais peke yake akihangaika. Ama kweli Rais anashauriwa Vibaya


Post a Comment

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

 
Top