• Breaking News

  May 7, 2016

  Msigwa Anataka Serikali iliyoko Madarakani Imuoneshe Japo Kiwanda Kimoja

  Leo katika bunge Mh Msigwa anataka serikali iliyoko madarakani imwonyeshe japo kiwanda kimoja kilichojengwa hadi sasa na Serikali ya Magufuli. Waziri wa viwanda akiweza kumwonyesha, atampa landcruiser yake! Du, bonge la hoja, hahahaaaaa!

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku