INDIA: Mtoto mwenye umri wa mwaka 1 agundulika kuwa na nywele sehemu zake za siri na hamu ya ngono. Inadaiwa ana tatizo la homoni.

Madaktari wanadai kuwa mtoto huyo ana tatizo liitwalo 'precocious puberty' ambapo mtoto hubalehe kabla ya miaka saba au nane.
Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top