• Breaking News

  May 28, 2016

  Natabiri Zitto Zuberi Kabwe kuwa Waziri wa Magufuli

  Kutokana na umahiri wa huyu Kijana.
  Akili kubwa!!!!!

  Na kwamba hakuna mtoa hoja zenye uzito kama yeye kwa sasa bungeni.

  Nitabiri tu kuwa huu mchezo hata magufuli amekubali... kwa sasa kilicho bakia ni kujiuliza kuwa ampange wizara gani maana kila mahali anamudu.

  Naamini kuwa Magufuli haendeshi serikali kimazoea..... natambuwa pia anayo nafasi moja.

  Hata kama sio sasa ni baadae lakini naachia utabiri wangu huyu Kijana ni waziri mtarajuwa wa JPM

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku