Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kwenye sherehe ya may day ametoa neema kwa wafanyazi kwa kupunguza kodi ya mapato PAYE kutoka asilimia 11 mpaka asilimia 9 yaani single digit kama ilivyombwa na wafanyakazi wenyewe kuptia risala iliyosomwa na katibu mkuu ndugu Nichorus mgaya ,Post a Comment

 
Top