• Breaking News

  May 12, 2016

  Rais Yoweri Museveni Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Uganda

  Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameapishwa Rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo katika viwanja vya Kololo nchini humo na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Afrika akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt.John Pombe Magufuli kutoka Tanzania

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku