• Breaking News

  May 9, 2016

  Sakata la Sukari iliyofichwa Kutolewa Bure

  Siku chache baada ya Rais John Magufuli kutangaza kutaifisha sukari itakayokamatwa kutoka kwa wafanyabiashara wanaoificha na kuiingiza nchini kinyume cha sheria, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), jana iligawa kwa taasisi 31 za mkoa wa Lindi mifuko 5,319 ya bidhaa hiyo iliyokamatwa mkoani humo, Februari Mosi, mwaka huu.

  Nini maoni yako?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku