• Breaking News

  May 25, 2016

  Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Prof. Joyce Ndalichako amevunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania(TCU ) kufuatia Tume hiyo kupitisha majina ya wanafunzi 486 wasio na sifa kusomea Shahada ya Elimu.

  Pia,Waziri Ndalichako amewasimamisha kazi Maafisa kadhaa waandamizi wa TCU kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza vyema wajibu wa TCU. Waziri Ndalichako amewateua Makaimu wa nafasi za waliosimamishwa.

  Habari zaidi zitafuata..

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku