UTEUZI: Rais Magufuli amteua aliyekuwa Spika wa Bunge la 10, Anne Makinda kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Pia amemteua Jaji Shabani Ally Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top