• Breaking News

  May 11, 2016

  Tani 1,360 zakutwa kwenye Godown la Mohamed Enterprise na Mkuu wa Mkoa, Makonda

  Tani 1,360 za sukari zimekutwa kwenye Godown la Mohamed Enterprise, wahusika wadai sukari hiyo ni kwa ajili ya matumizi ya viwandani(sukari nyeupe).

  Atoa saa 24 mwenye sukari hiyo kupeleka nyaraka zinazoonyesha sukari hiyo inatakiwa kupelekwa viwandani.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku