May 10, 2016

UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni

Tani 4 za sukari yakamatwa katika moja ya majengo yaliyoko Kinondoni, Dar baada ya RC Makonda kuongoza msako mapema leo.

Taarifa zaidi kukujia

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR