May 12, 2016

Video Fupi: Wanafunzi Walipogundua ni Diamond Anapita Pembeni yao Kuingia Bungeni

Diamond Platnumz na kundi la muziki la Afrika Kusini Mafikizolo ambao watatumbuiza mbele ya Wanachuo wa UDOM leo Dodoma, walialikwa na Waziri Nape Nnauye kuingia bungeni Dodoma kama wanavyoalikwa Wageni wengine.

Wakati wanaingia kulikua na baadhi ya Wanafunzi wamealikwa pia na walipomshtukia Diamond walianza kupiga kelele za furaha kumuona staa huyu wa bongofleva wanaemkubali, unaweza kuwatazama kwenye hii video fupi hapa chini.

Diamond ameandika :‘Ilibidi kujikausha na kueka sura ya userious ili furaha isiwazidi tukaja haribu Hali ya hewa ikawafujo tukapelekwa Polisi bure kwa kusababisha Zogo Bungeni’ Tazama Hapa:


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR