• Breaking News

  May 25, 2016

  VIDEO: Mbunge kataka Wabunge wanaohusika na Ujangili wafungwe kifungo cha maisha jela

  May 24 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma, kazi ilikuwa ni Wizara ya Utalii na Maliasili kuwasilisha hotuba yake ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ambayo imeomba kutengewa jumla ya  Sh. 135,797,787,000.

  Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo, na hapa nakukutanisha na Mbunge wa Viti Maalum CCM Catherine Magige ambaye yeye anaiomba Serikali kutoa adhabu ya kifungo cha maisha kwa Wabunge wanaohusika kijihusisha na Ujangili. Tazama Video:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku