Chama cha Mafundi Magari Wilaya ya Kinondoni wameungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda katika utengenezaji wa jumla ya magari 8 ambayo Mkuu wa Mkoa alipoingia katika ofisi yake ya Mkoa iliyopo Ilala Dar es salaam

Katibu Mkuu wa Chama cha Mafundi Magari kutoka katika Garage ya Tegeta ameyazungumza haya baada ya kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam paul Makonda>>>’Naitwa Abdallah Rashid ni Katibu Mkuu leo nimeongozana na muwekahazina wetu na tumekuja hapa leo tutachukua magari yote nane na nakuhakikishia Mkuu wa Mkoa ya kwamba baada ya siku mbili utayaona Haya magari ya kirudi hapa‘

UNAWEZA UKAUTAZAMA HUU MPANGO WA PAUL MAKONDA KWENYE MAGARI MABOVU ALIYOYAKUTA OFISINI KWAKE..


Post a Comment

 
Top