Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli tangu iingie madarakani ajenda kubwa imekuwa ni kubana matumizi ya serikali kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima.

Kutokana na utendaji huo wengi wamekuwa na mitazamo tofauti, hapa Mbunge wa Tarime mjini Ester Matiko (CHADEMA) amelizungumzia hilo……..

>>>‘wapinzani tulikuwa tunapiga kelele sana dhidi ya ubadhirifu uliokuwa unaendelea Serikalini, sasa kinachonifurahisha kwa Rais Magufuli ni jinsi anavyochukua hatua‘

>>>’amenifurahisha kusimamisha utumiaji wa fedha za baadhi ya sherehe za kitaifa na kuziweka katika matumizi mengine kwahiyo mimi nampongeza kwa hilo lakini sio kwa kuziondoa sherehe hizo kwani ni kumbukumbu ya nchi yetu’ – Ester Matiko

Chanzo:Millard


Post a Comment

 
Top