Mei 5 2016 Wizara ya Katiba na Sheria ilikuwa ikiwasilisha bungeni Taarifa ya kamati ya kudumu ya bunge kuhusu utekelezaji wa Wizara hiyo huku ikisoma na Waziri wake Harrison Mwakyembe, Baadae ilitolewa nafasi kwa wajumbe wakiwemo wabunge ili kuchangia maoni yao kuhusu bajeti hiyo.

Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka alipopata nafasi hiyo ya kuchangia ambapo kwanza anaonyesha kutopendezwa na kauli za mzungumzaji wa kwanza alipozungumzia kuhusu utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya Tano.

Huyu hapa Profesa Tibaijuka kwenye dakika zake saba za kumsikiliza…


Post a Comment

 
Top