• Breaking News

  May 19, 2016

  Watu watatu wachinjwa wakiwa msikitini Mkolani jijini Mwanza

  Muda si mrefu Nimepokea taarifa za mauaji yaliyofanyika jana usiku kwenye msikiti uliopo Mkolani jijini Mwanza.

  Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari kilichopo karibu na msikiti huu kinasema kuwa, watu wasiojulikana wamevamia na kuwachinja watu watatu kama kuku waliokuwa wakiswali swala ya saa mbili usiku wa jana.

  Inasemekana kuwa hao wachinjaji waliwaamuru watoto waliokuwepo hapo msikitini Muda huo na kuwaambia wakimbie ili waweze kutimiza matakwa yao.

  Swali linakuja sasa ni nini chanzo cha mauaji haya? Hivi kweli tumefikia huku?

  Imenisikitisha sana.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku