Duniani kote mifuko ya pensheni hutumika kwenye miradi mikubwa inayolipa faida pana kwenye uchumi. Naunga mkono maelekezo ya Rais Magufuli aliyotoa Leo mkoani Arusha. Muhimu ni kuhakikisha kuwa mwongozo wa uwekezaji unafuatwa. Pia kuweka uwazi kwenye uendeshajiwa mifuko Kama tulivyoshauri kwenye ilani ya uchaguzi ya ACT Wazalendo 2015


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top