May 29, 2016

Zitto Kabwe: Nusu ya Walimu Wanalipwa Mishahara ya Bure, Hawafundishi

Baada ya Hussein Bashe kusema ni watu waliofeli, Zitto Kabwe nae amesema nusu ya walimu hawafanyi kazi na ndio 'watumishi hewa haswa'

Ameongezea pia utafiti uliofanyika na Benki ya Dunia na REPOA ukitembelea ghafla kwenye shule za umma utakuta walimu hawapo shuleni

Mtazame Hapa:

No comments:

Post a Comment