• Breaking News

  Jun 2, 2016

  China Kuhamisha Baadhi ya Viwanda vyake Tanzania

  KUTOKA BUNGENI: Serikali ya China imeichagua Tanzania kama moja ya nchi itakayonufaika na mpango wake wa kuhamishiwa baadhi ya viwanda vyake

  Nchi nyingine za Afrika zitakazonufaika na mpango huo ni Ethiopia, Afrika ya Kusini na Kenya


  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku