• Breaking News

  Jun 5, 2016

  DART Wazungumzia Taarifa Zilizoenea Kuhusu Kiwango cha Kulipa kwa Atayegonga Mabasi ya Haraka

  Siku ya jana June 03 2016 kwenye mitandao na vyombo vya habari zilisambaa taarifa zilizodai kuwepo kwa kiwango cha faini baada ya DART kuwasilisha maoni ya kupitishwa sheria ndogondogo kwa ajili ya barabara zinazotumiwa na mabasi yaendayo haraka  katika wizara husika kwa ajili kufanyiwa kazi.

  Taarifa hiyo ilisema ‘Watakaogonga Mabasi ya UDART FAINI 300000’,  afisa uhusiano wa DART William Gatambi amesema haya:

  ‘Amenukuu vibaya hizo sheria ndogondogo bado zinafanyiwa kazi wizarani, aliyezungumza alikuwa anatoa mfano tu sio kwamba ndio kiwango rasmi’

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku