Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo

1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa?

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top