• Breaking News

  Jun 9, 2016

  Katika kila Tshs 1000 utakayotoa ATM kuanzia tarehe 1 Julai, 2016 tshs 280 zitachukuliwa na TRA

  Katika kila tshs 1000 utakayotoa kwenye ATM kuanzia tarehe 1 Julai, 2016 tshs 280 zitachukuliwa na TRA. Hivyo hivyo katika miamala ya M PESA, TIGO PESA nk. (ZITTO KABWE)

  -----------------
  Kama hili liko sahihi basi Magufuli utatuua masikini wa nchi hii. Huo urafiki wa Magufuli na masikini si

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku