• Breaking News

  Jun 17, 2016

  Ukawa kususia Futari za Viongozi wakuu Mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni dhihaka kwa Waislam.

  Mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa wasiojua ni nguzo mojawapo kubwa katika Nguzo kuu za dini ya waislam. Na mwezi huu kwa waislam ni mwezi wa kufututrishana kusamehehana na kuombeana mema. Ata kama mnaugomvi mkubwa wengi huwa wanausubiri kwa ajili ya kusameheana ni mwezi wa rehema kwa waislam, Lakini kwa nchi yetu hatujafikia hatua mbaya ya kususia ata chakula au maji .

  Ukawa wanachofanya ni kutaka kutengeneza Chuki baina ya watanzania ifikie hatua hatuzikani kisa siasa, Najiuliza tu km kiongozi wanayeshindana nae hakifiwa na mtu wa karibu yake Je wapo tayari kumsaidia au kumfariji??

  Kama wameweza kususia Futari kisa yupo Naibu Spika?
  Watanzania je tumefikia hapo?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku