• Breaking News

  Jun 2, 2016

  Magufuli: Wanaopita Kwenye Barabara za Mwendokasi Chomoeni Tairi za Magari yao Muuze

  Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.

  Amewataka wachukue magari yao na wapeleke kituoni kisha wachomoe matairi ya watuhumiwa wauze na watakuwa wamepata biashara

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku