• Breaking News

  Jun 28, 2016

  Serikali yakubali yaishe: Bunge kurushwa LIVE Redioni

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amesema serikali imekubali kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja kupitia redio nchini.

  Hapo Mwanzo, Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, alisema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya matukio na kuonyesha usiku.

  Swala la kusitisha Matangazo ya live yalilalamikiwa sana na wabunge hasa wa akambi ya Upinzani.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku