• Breaking News

  Jun 5, 2016

  Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

  Achane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
  Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.

  Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.

  Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
  Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku