• Breaking News

  Jun 18, 2016

  VIDEO: CCM Wametangaza Siku ya Kumkabidhi Uenyekiti Rais Magufuli

  Chama cha mapinduzi CCM kinatarajiwa kufanya mkutano wake mkuu wa makabidhiano ya uenyekiti kutoka kwa mwenyekiti wa sasa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete na kumkabidhi Rais Dk John Magufuli kama ilivyo desturi ya chama hicho July 23 2016………

  ’Mkutano mkuu wa Taifa utafanyika  July 23 2016 na kazi yake kubwa itakuwa ni kuendeleza utamaduni wa chama cha mapinduzi wa kukabidhiana kijiti cha uongozi wa juu wa chama kutoka kwa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwenda kwa Rais wa awamu ya tano Rais John Magufuli’:- Ole Sendeka

  Unaweza kuangalia video hii hapa chini:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku