Jun 18, 2016

VIDEO: Lowassa kaeleza alichochozungumza na TB Joshua, kutoridhishwa na NEC

Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa amehutubia mahafali ya CHADEMA Student Organization ‘CHASO’ ambapo amesema hajaridhishwa na matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 na kaeleza kwamba TB Joshua alikuja kumshawishi akubali matokeo.

’Tukakaa na TB Joshua tukazungumza sitaki kusema mengi niliyosema lakini moja nilimwambia ukikubali yale matokeo rafiki yangu heshima yako itakwisha hapa Tanzania na Duniani nikamueleza mfululizo wa mambo yaliyokuwa yanafanywa alisikitika sana alikuwa amekuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe akasema siendi nitabaki hotelini kwangu‘

Unaweza kuangalia video hii hapa chini:


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR